music image

music image
picture

Wednesday, September 30, 2015

dyna code

Hii ni full set ya dyna code
Dyna code music ni music system ambayo kwa namna yake mtu aliye wahi kuitumia anaijua vizuri. Ni mziki ambao uko na kiwango cha hali ya juu sana tembele www.chang'ombevijanachoir.tz (CVC) au maarufu kama GUSA 

utangulizi

Sound engineer & Music ni blog inayo jadili na kushauri kuhusu masuara ya music. hii ni pamoja na kufanya music setup (kuunganisha na kuseti viombo) kwenye tamasha mbalimbali. kanisani, ukumbini, kwenye viwanja wa mikutano na shughuli mbalimbali zinazohusisha mziki