music image

music image
picture

Wednesday, October 7, 2015

Bwana wa Majeshi

Choir master Emmanuel Magenda yuko vizuri tembelea page ya AIC Shinyanga Choir utapata baadhi ya nyimbo zao. Album bora kabisa kati ya Album zilizowahi kutokea hapa Tanzania. BWANA WA MAJESHI iko vizuri sana imekua ni baraka sana watu wanaendelea kushuhudia ubora wa kazi hii. 

2 comments: