SESEJA PRODUCTION STUDIO MWANZA

karibu Seseja Productions kwa audio recording na Music arrangement kutana na producer mkali kabisa katika kufanya mixing kwa viwango vya juu sana, Edward Seseja. Studio iko Mwanza Nyegezi Carfinia. Pia ndani ya Seseja Productions utapata wataalam wa kupiga music kama vile keyboard, guitar, drums na vifaa vingine vya music kulingana na mahitaji yako. Sound engineer wanapatikana ndani ya Seseja production. Mussa Sidifel setup kwa tamasha, kanisani na sehemu nyingine
No comments:
Post a Comment